Kufuatia kusambaa kwa video mitandaoni ikiaminika ni mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda akiingia Clouds Media akiwa na askari, Waziri wa habari, utamaduni, sanaa na michezo, Nape Nnauye kupitia account yake ya twitter ameyaandika haya……
“Kesho asubuhi kama Waziri Mwenye dhamana na HABARI nitatembelea CloudsMedia kujua kilichotokea.Nawaomba sana wanahabari nchini KUTULIA kwasasa”
Kesho asub kama Waziri Mwenye dhamana na HABARI nitatembelea CloudsMedia kujua kilichotokea.Nawaomba sana wanahabari nchini KUTULIA kwasasa! pic.twitter.com/g3FBjjXMQL
— Nape Moses Nnauye (@Nnauye_Nape) March 19, 2017
Ulikosa? AyoTV magazeti leo March 19 2017, Bonyeza play hapa chini kutazama