Habari za Mastaa

Ngoma 20 Kali za wiki kwenye CloudsFM Top 20 March 19 2017

on

Kila siku ya Jumapili kupitia CloudsFM kuanzia saa tano asubuhi mpaka saa 7 mchana inahusika Midundo 20 mikali ya wiki na millardayo.com inakupatia nafasi ya kuona hiyo countdown, ambapo wiki hii ingizo jipya ni wimbo wa Ed Sheeran – Shape of you  pamoja na wimbo wa Lulu Diva – Usimuache ikiwa ni kwa mara ya kwanza kwenye List hii.

 

VIDEO: Iyo aeleza alivyokutana na Diamond Platnumz na kufanya naye kazi

ULIIKOSA HII YA MAJIBU YA MH.TEMB KUHUSU WANAOSEMA YAMOTO BAND WAMEPOTEA BASI ITAZAME HII VIDEO HAPA

Unazitaka BREAKING NEWS na stori zote? ungana na mimi Ripota wako wa nguvu Millard Ayo kwenye Facebook Twitter Instagram na Youtube na atakuletea matukio yote ya picha, video na habari iwe usiku au mchana…. bonyeza hapa >>> FBTwitter INSTAGRAMYouTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments