AyoTV

VIDEO: Waziri Ndalichako kaongea sababu ya kuivunja tume ya Vyuo Vikuu ‘TCU’ na kuwasimamisha wanne

on

Bunge la 11 bado linaendelea Dodoma, May 26 na 27 zimetengwa kwa ajili ya kuijadili bajeti ya Wizara ya Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi inayoomba kutengewa jumla ya Shilingi 1,396,929,798,625.00 ili kutekeleza majukumu yake kwa ufanisi.

Wakati akisoma hotuba ya Wizara hiyo Waziri Joyce Ndalichako kaongea pia sababu ya kuivunja tume ya Vyuo Vikuu ‘TCU’ na kuwasimamisha watumishi wake wanne. Unaweza kumsikiliza kwenye hii video hapa chini.. 

ULIIKOSA HII? CHUO CHA CBE WAMEYAZUNGUMZA HAYA BAADA YA KURIPOTIWA KWA TUHUMA ZA UFISADI CHUONI HAPO

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments