Kila siku asubuhi huwa nazisogeza headlines zilizobebwa kwenye kurasa za Magazeti ya Tanzania, Uchambuzi wa stori zote napandisha kwenye account yangu ya Twitter >>>@millardayo.
Tayari nimezikusanya na waweza kuzipitia hapa chini moja baada ya nyingine
#HabariLEO Serikali inatarajia kumwaga ajira kwa askari na walimu ktk mwaka ujao wa fedha pic.twitter.com/CIgrExOJzl
— millardayo (@millardayo) May 17, 2016
#HabariLEO Serikali kuanzisha mfumo wa ulinzi wa raia na mali zao kwa njia ya mtandao wa kamera za usalama pic.twitter.com/FKuQjh6wYK
— millardayo (@millardayo) May 17, 2016
#MWANANCHI Mabasi yaendayo haraka Dar es salaam yaanza na changamoto kwenye mifumo ya kukatia tiketi pic.twitter.com/ZlF4ZqdafV
— millardayo (@millardayo) May 17, 2016
#JamboLEO Waandishi wa habari wanaoripoti habari za Bunge wameanza kuchukuliwa alama za vidole pic.twitter.com/PndALSBlDC
— millardayo (@millardayo) May 17, 2016
#HabariLEO Watu 11 Moro mbaroni kwa tuhuma za kumbaka msichana miaka 21 kisha kumpiga picha za utupu na kuzisambaza pic.twitter.com/GvmDf3tpKI
— millardayo (@millardayo) May 17, 2016
#HabariLEO Nida kukamilisha usajili na utambuzi ktk mikoa yote ifikapo December kwa kufikia watanzania mil 22 pic.twitter.com/jqLufWt5EB
— millardayo (@millardayo) May 17, 2016
#JamboLEO Sumatra yapangua njia za daladala Dar ktk maeneo mbalimbali na kuanzisha njia mpya za huduma ya usafiri pic.twitter.com/CohfXnOyiZ
— millardayo (@millardayo) May 17, 2016
#UHURU RC Tanga, Martin Shigela amesema mradi wa bomba la mafuta umesababisha kuyumba kidogo kwa uhusiano na Kenya pic.twitter.com/PUZb3JGz13
— millardayo (@millardayo) May 17, 2016
#MWANANCHI Mjane aliyemwaga chozi mbele ya JPM akidai kudhulumiwa mali ya urithi akabidhiwa nyumba na shamba lake pic.twitter.com/eqIV9E2r30
— millardayo (@millardayo) May 17, 2016
#MWANANCHI Serikali imesema biashara ya mbao, magogo nje yaingiza hasara kutokana na kufanyika bila kufuata sheria pic.twitter.com/wJfjJPN4LP
— millardayo (@millardayo) May 17, 2016
ULIKOSA UTANI WA MASANJA AKIMPA RAIS MAGUFULI STYLE MPYA YA KUTUMBUA MAJIPU? UNAWEZA UKAANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE