Habari za Mastaa

Jiandae kupokea zawadi ya Valentine kutoka kwa Albert Mangwea.

By

on

4b4d66fe954b11e3960112f844e5466b_8Pengine unaweza kushtuka kusikia kuna wimbo mpya wa Mangwea unaachiwa leo February 14,hupaswi kushtuka kwa hili maana kama utakua na kumbukumbu nzuri mwaka jana Albert Mangwea alitangaza kutoa wimbo mpya kwa ajili ya Valentine.

Hesabu zake alizibadilisha na kuamua kuachia wimbo wa No Beef ambayo ameshirikishwa Tid Mnyama,jana kupitia XXL ya Clouds Fm Bdozen alitangaza kuwa leo February 14 wimbo mpya wa Mangwea ambao unaitwa Alma umefanyika AM Records na Producer ni Maneck utatoka rasmi.

Millardayo.com imeongea na Maneck na kusema kuwa Mixing na Masterling ya wimbo huo imemalizwa jana usiku na leo itawafikia mashabiki wa Mangwea kwa ajili ya kusikiliza wimbo huu mpya,endelea kutufatilia maana muda si mrefu kupitia millardayo.com utaweza kuusikiliza wimbo huu.

Hiki ndicho alichopost Bdozen kupitia ukurasa wake wa Instagram kuhusu wimbo mpya wa Mangwea.

Screenshot_2014-02-14-12-33-12Bdozen Ameandika>>It’s happening today on XXL.Hutakiwi kuikosa sababu mama yake #NGWAIR#Livekwenye show.#Exclusive#Interview#NewRelease#RIPNGWAIR.Unaweza kuiwatch pia on www.cloudstv.com channel namba 2.All in all…..I wish u all a HAPPY VALENTINE’S DAY.

Tupia Comments