Habari za Mastaa

Uwoya alivyoingia na Range yake mpya kwenye Listening party ya Diamond (video+)

on

Ni Machi 10, 2022 ambapo Diamond Platnumz alifanya listening Party ya EP yake iitwayo FOA katika ukumbi wa Slipway uliopo Masaki Dar es Salaam.

Hapa nimekusogezea utazame namna Muigizaji Irene Uwoya alivyotinga na Range yake mpya katika  hafla hiyo.

 

UCHEBE AMUONA SHILOLE KWA DIAMOND “AMENIKUMBUKA KIDOGO”, AJIBU KUTAJWA WIMBO SHILOLE

Tupia Comments