Alikaa sana kwenye Top 10 za Radio kitambo hicho na ngoma zake kama ‘kila mtu na demu wake’ ‘friday night’ na nyinginezo, jina lake ni Mr. Nice ambae alihamia na kuanza kuishi Kenya wakati Rais Magufuli anaingia madarakani mwaka 2015, hapa amekaa kwenye EXCLUSIVE na Millard Ayo na kufunguka mengi ya maisha yake na kwamba hajutii chochote kwenye maisha na kwamba hata akifa leo hana cha kujutia, bonyeza play hapa chini kumtazama
“SIWEZI KUMUACHA MC PILIPILI HATA NIKIMFUMANIA NA MWANAMKE KITANDANI” – PHENOMENA, BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUMTAZAMA
WEZI WALIVYOREKODIWA VIDEO BILA KUJUA WAKIIBA OFISINI DAR ES SALAAM, BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUTAZAMA VIDEO