Habari za Mastaa

Nick Minaj akoshwa na Tiwa Savage, aweka comment

on

Ni Rapper kutokea nchini Marekani Nick Minaj ambae time hii ameonekana kupenda wimbo wa Tiwa Savage akiwa na Brandy uitwao Somebody Son.

Rapper huyo amethibitisha baada ya ku comment kwenye post ya Brandy.

.

Rapper huyo wa kike aliandika hivi….“Nimekuwa Nikisikiliza Kutwa Hii Ngoma Kwa Wiki Kadhaa” – Nicki Minaj

Wimbo huo unapatikana katika EP ya msanii iliyopewa jina la Water & Garri ambayo iliingia sokoni mnamo Agosti 19, 2021.

MTANZANIA WA KWANZA KUHOJIWA NA KELLY CLARKSON MAREKANI “SIKUAMINI”

DULLVAN BILA KUPEPESA MACHO KAWAJIBU WANAOMSEMA MITANDAONI “NAENJOY, MAMA ALINIULIZA”

Soma na hizi

Tupia Comments