Usiku wa March 5, 2018, tuzo kubwa za filamu za Oscars zimefanyika nchini Marekani (90th Oscars Annual Academy Awards) ambapo zilihudhuriwa na mastaa mbalimbali wanaofanya vizuri ulimwenguni sasa millardayo.com inakupa nafasi ya kupata list nzima ya wishindi wa Tuzo hizo.
Best Supporting Actor (Muigizaji msaidizi Bora wa kiume)
Sam Rockwell, Three Billboards Outside Ebbing, Missouri – MSHINDI!
Willem Dafoe, The Florida Project
Woody Harrelson, Three Billboards Outside Ebbing, Missouri
Richard Jenkins, The Shape of Water
Christopher Plummer, All the Money in the World
Best Costume Design ( Muandaaji Bora wa Nguo)
Phantom Thread – MSHINDI!
Beauty and the Beast
Darkest Hour
The Shape of Water
Victoria & Abdul
Best Documentary ( Makala Bora ya mwaka)
Icarus – MSHINDI!
Abacus: Small Enough to Jail
Faces, Places (Visages, Villages)
Last Men in Aleppo
Strong Island
Best Sound Editing ( Filamu yenye Uhariri bora wa Sauti wa mwaka )
Dunkirk – MSHIDNI!
Baby Driver
Blade Runner 2049
The Shape of Water
Star Wars: The Last Jedi
Best Production Design
The Shape of Water – MSHINDI!
Beauty and the Beast
Blade Runner 2049
Darkest Hour
Dunkirk
Best Supporting Actress ( Muigizaji msaidizi bora wa kike)
Allison Janney, I, Tonya – MSHINDI!
Mary J Blige, Mudbound
Lesley Manville, Phantom Thread
Laurie Metcalf, Lady Bird
Octavia Spencer, The Shape of Water
Best Animated Short ( Filamu fupi bora ya uhamasishaji)
Dear Basketball – MSHINDI!
Garden Party
Lou
Negative Space
Revolting Rhymes
Best Live Action Short
The Silent Child – MSHINDI!
DeKalb Elementary
The Eleven O’Clock
My Nephew Emmett
Watu Wote/All of Us
Best Adapted Screenplay