Ikiwa ni siku kadhaa zimepita tangu kuenea kwa taarifa kutoka katika baadhi ya vyombo vya habari ikiwemo magazeti kuhusu tuhuma za ofisi za Halmashauri ya jiji la Dodoma kuhusika katika ubadhirifu wa fedha ikiwemo ujenzi wa ukumbi wa jiji unaodaiwa kutumia zaidi ya shilingi million 300 ambapo Kunambi amesema hizo ni hujma za baadhi ya watu kutaka kumtoa kwenye dira.
TAZAMA ALICHOKIFANYA MBUNGE BONNA KWENYE JIMBO LAKE LEO