Habari za Mastaa

Olamide karudi tena kwenye headlines na hii nyingine ‘Eyan Mayweather’…(Video)

on

Moja ya mastaa wanaofanya vyema katika industry ya muziki Nigeria ni pamoja na Olamide ambaye tayari nyimbo zake nyingi zikiwemo alizowashirikisha mastaa mbalimbali zimefanya vizuri.

Olamide ameamua kuja na video yake mpya ya single yake ya Eyan Mayweather’ iliyofanyika jijini Lagos.

Nakukaribisha kuitazama hapa

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyezahapa>>>INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE.

Tupia Comments