Vituko/ Comedy

VIDEO: Utani wa mchekeshaji Eric Omondi kwa wanaotaka kuwa kama Diamond

on

Eric Omondi raia wa Kenya ambaye ni moja kati ya watu waliobarikiwa vipaji vingi ikiwemo uwezo binafsi wa kuchekesha kupitia maneno na mwili wake pia, leo katusogezea mambo muhimu ambayo unapaswa kuyazingatia kama unatamani kuwa kama star wa bongo flava Nasseb Abdul maarufu kama Diamond Platnumz.

Unaweza kumtazama Omondi kwenye hii video hapa chini…

ULIIKOSA HII MCHEKESHAJI ERIC OMONDI ALIPOITWA KWENYE STAGE NA DIAMOND PLATNUMZ

Soma na hizi

Tupia Comments