Picha 13:Mastaa na watu mbalimbali wajitokeza kumzika Malcom Kisutu DSM
Share
2 Min Read
.
SHARE
Kutoka Makaburi ya Kisuti DSM shughuli ya maziko wa mwili wa mtoto wa mtangazaji wa Clouds FM, Masoud Kipanya, Malcom Ally umezikwa katika makaburi ya Kisutu jijini Dar es Salaam.
Katika mazishi haya yamehudhuriwa na watu mbali mbali wakiwemo CEO wa GSM Ghalibu, Mwigizaji Steve Nyerere, Msanii Ommy Dimpoz, Mtangazaji Millard Ayo, wafanyakazi wa Clouds Media Group na wengine.
Millardayo.com imekusogezea picha mbalimbali kutoka kwenye mazishi hayo unaweza ukatazama hapa
..........Pichani ni Mtangazji Masoud Kipanya akiwa na nyuso ya huzuni baada ya kuondokewa na mwanae Malcom aliezikwa July 29, 2021 katika Makaburi ya Kisutu DSM.PichaNi: (Kushoto) Mtangazaji Millardayo mwenye barakoa nyeusi akiwa na CEO wa GSM Ghalib mwenye kanzu na kulia mbele yao ni Mwigizaji Steve Nyerere hii ni leo katika makaburi ya Kisutu DSM.Pichani (Kushoto) Mchambuzi wa Soka, Edo Kumwembe akiwa na msanii wa Bongo Flev, Ommy Dimpoz leo kwenye mazishi ya Mtoto wa Masoud Kipanya ‘Malcom’ makaburi ya Kisutu DSM.Pichani:(Kushoto) Msanii wa Bongo Fleva Ommy Dimpoz akizungumza na mtangazaji wa Radio Clouds FM, Millard Ayo kwenye mazishi ya Malcom Kisutu Dar es Salaam
TAZAMA MWILI WA MALCOM ULIVYOINGIZWA KABURINI, HUZUNI ZATAWALA
MASOUD KIPANYA ASHINDWA JIZUIA AMWAGA MACHOZI AKISIMULIA KWA UCHUNGU MAGUMU YA MALCOM