Ni Mfanyabiashara na Mwana mitandao maarufu kama Aristotee leo Novemba 20, 2021 amefunga ndoa na mkewe Emmy katika kanisani la Elishadai Temple Church lililopo Boko Basihaya DSM.
Millardayo.com imekusogezea baadhi ya picha kutoka Kanisani.
ARISTOTEE ALIVYOWASILI KANISANI KUFUNGA NDOA, PROFESSOR JAY AWA MPAMBE
ARISTOTEE ALIVYOMVISHA PETE YA NDOA MKEWE, AFUNGUKA “HARUSI YANGU NI BAJETI KUBWA SANA”