Michezo

PICHA: Azam FC na Simba SC zote zaanza mazoezi

on

Vilabu vya Simba na Azam leo vimeanza mazoezi kuelekea kuanza tena kwa muendelezo wa mechi za Ligi Kuu Tanzani bara 2019/20, Azam FC inawakosa baadhi ya nyota wao wa kigeni ikiwemo kocha na Simba SC inawakosa Chama na Kahata.

Soma na hizi

Tupia Comments