Habari za Mastaa

VIDEO: MC Pilipili asimulia alivyochekesha, watu hawakucheka Kahama ikabidi aondoke

By

on

AyoTV na millardayo.com imekutana na Mchekeshaji maarufu bongo Mc Pilipili na amesimulia alivyokuwa Kahama watu walishindwa kuelewa aina ya uchekeshaji wake……..

“Utakuta mtu anauliza standup comedy ndio nini, akishaambiwa anauliza tena mbona sicheki sasa, unamwambia comedy utacheka mwishoni mtu hataki sasa unafanya nini hapo, huwa napata nguvu ya kutoa kichekesho kingine kama watu wakicheka nilipotoa kichekesho cha kwanza lakini watu wakikaa kimya tu nakosa hata nguvu ya kuendelea ndo ilivyotokea Kahama”

VIDEO:Ulipitwa na hii? nimekusogezea hapo chini, Bonyeza play hapa cchini kutazama

Unazitaka Breaking NEWS na Stori zote? ungana na Millard Ayo kwenye Facebook Twitter Instagram na Youtube na atakuletea matukio yote ya picha, video na habari iwe usiku au mchana…. bonyeza hapa >>> FB Twitter Instagram YouTUBE.

 

 

 

Soma na hizi

Tupia Comments