Habari za Mastaa

“Walioniteka waliniambia nitatoka 2030” – ROMA

on

Msanii staa Ibrahim Mussa maarufu kama ‘Roma Mkatoliki’ amefunguka mkasa mzima wa jinsi alivyotekwa mwezi May mwaka huu akiwa na wenzake watatu akisema walifungiwa vyumba tofauti na kupigwa sana huku wakihojiwa maswali ambayo hakuhusika kwa namna yoyote na taarifa za maswali hayo.

>>>”Waliuliza mambo mengi pamoja na masuala ya siasa na muziki ambayo niliwaambia sihusiki nayo na akili yangu wakati wote ilikua kwa familia yangu na usalama wao.”

Kujua kila kitu alichozungumza ROMA play kwenye video hii hapa chini!!!

Uliikosa hii? Dogo Janja kasema; ”Niliacha viatu kwa P Funk Majani kisa mtoto wake Paula” Tazama hapa kwenye video.

Soma na hizi

Tupia Comments