Leo February 14, 2019 Mkuu wa Mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri ameitumia jioni yake kwenda kupiga stori na Wazee wa Tabora kwenye kijiwe cha kahawa maarufu”mkunguni” na amelitaja kabila analolipenda na kuongelea mambo mablimbali.
ALIEJENGA NYUMBA MPAKANI MWA KENYA NA TANZANIA “SIJUI MIMI RAI WA WAPI”