Premier Bet
TMDA Ad

AyoTV

VIDEO: Waziri Kangi Lugola alivyoikabidhi Simba SC Ubingwa wa TPL

on

Club ya Simba SC leo ikiwa mjini Morogoro katika mchezo wake wa mwisho wa Ligi Kuu soka Tanzania bara dhidi ya Mtibwa Sugar, wamekabidhiwa Kombe lao la Ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania bara kwa msimu wa 2018/2019 na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Kangi Lugola.

Simba SC wamefanikiwa kutangazwa Mabingwa wa Ligi hiyo baada ya kufanikiwa kumaliza Ligi Kuu wakiwa na jumla ya point 93 walizovuna katika michezo 38, wakati watani zao wa wa jadi Yanga SC wakiwa nafasi ya pili kwa kuwa na point 86.

EXCLUSIVE: Msuva kuhusu kitendo cha Salamba kuomba viatu vya Banega

Soma na hizi

Tupia Comments