Habari za Mastaa

Rapper Megan achangia rambirambi milioni 18 kwa shabiki yake

on

Ni staa kutokea Marekani, Megan Jovon Ruth Pete  a.k.a Megan The Stallion ambae time hii anamiliki vichwa vya habari nchini kwao baada ya kuripotiwa na vyombo vya habari kutoa rambi rambi kwa shabiki wake wa dhati aliefariki.

Imeripotiwa staa huyo mwenye hit single iitwayo Thot Shit amechangia rambirambi kiasi cha pesa kwa dola za kimarekani  $ 8000 ambazo kwa pesa ya kitanzania ni sawa na shilingi Milioni 18.5, hayo yametokea baada ya staa huyo kupata taarifa hizo kupitia ukurasa wa  twitter huku wengi wao wakionekana wakimjuza kwamba shabiki aliefariki alikuwa ni mpenzi wa nyimbo zake.

TAZAMA MTOTO WA ALIKIBA ALIVYOICHEZA NDOMBOLO MBELE YA ALIKIBA NA ABDUKIBA

Soma na hizi

Tupia Comments