Ni Agosti 3, 2016 ambapo msanii kutokea WCB Raymond aliingia kwenye headlines baada ya kuchukua maamuzi ya kufunga rasta huku ikionekana kuwakwaza mashabiki wake wakimtaka hakitoe
Staa huyo amekubali kuipata heshima millardayo.com & Ayo TV na kayangea haya…>>>>Unajua watu hawakuelewa sikuweka zile rasta kama ni style yangu mpya hapana niliziweka kwasababu ya kufanya photoshoot kwahiyo niliziweka kwa siku moja sasa jioni nikaambiwa niende kwenye event nikaenda nazo hivyo hivyo’- Raymond
‘Nimeona comments nyingi kuhusu rasta lakini naomba watu waelewe kwamba haikuwa style yangu na wala sina mpango wa kufuga rasta nitabaki na style yangu moja tu maana inaonekana jinsi nilivyowakwaza mashabiki wangu’- Raymond
Msikilize zaidi Raymond kwa kubonyeza play hapa chini.
ULIIKOSA HII YA DIAMOND ATAJA NGOMA ZAKE 5 ZINAZOKUBALIKA KIMATAIFA BASI ITAZAME HII VIDEO HAPA