Top Stories

RC Makonda akabidhi mradi wa Mto Ng’ombe uliofanyiwa upanuzi (+picha)

on

Mkuu wa mkoa wa DSM Paul Makonda amekabidhi mradi wa mto Ng’ombe eneo la Sinza ambao umefanyiwa upanuzi ili kuruhusu maji kupita vizuri wakati wa masika ili kuepusha mafuriko.

Makonda yupo kwenye ziara ya kukabidhi miradi mbalimbali iliyopo chini ya Ilani ya CCM.

ZIWA TANGANYIKA LIMEJAA MAJI, SHULE, ZAHANATI ZAZINGIRWA “HALI NI MBAYA WANANCHI WAMEHAMA”

Soma na hizi

Tupia Comments