Mix

Marehemu aliyekuwa Mgombea Ubunge wa ACT-Wazalendo Arusha ameagwa, Mazishi ni leo.. #RIP

on

Jimbo la Arusha Mjini limekuwa Jimbo la tatu kuahirisha Uchaguzi wa Wabunge baada ya baadhi ya Wagombea na nafasi hiyo kufariki muda mfupi kabla ya Uchaguzi Mkuu 2015.

Kwa Jimbo hilo, Mgombea mmoja aliyekuwa akipeperusha Bendera ya ACT-WazalendoEstomih MALLAH alifariki Dunia baada ya kuugua kwa muda mfupi na kukimbizwa Hospitali.

Marehemu Estomih tayari ameagwa na kufanyiwa ibada katika Kanisa la KKKT Ngulelo, leo October 14 2015 Marehemu anasindikizwa na ndugu, jamaa pamoja na watu wengine kwenda Kijijini kwao eneo la Sango Mkoa wa Kilimanjaro ambako yatafanyika mazishi.

unnamed II

 

unnamed

unnamed IV

unnamed V

Apumzike kwa amani Marehemu Mzee ESTOMIH MALLAH… #RIP

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE kwa kubonyeza hapa >>>INSTAGRAM, TWITTER, FB, YOUTUBE

Tupia Comments