Habari za Mastaa

Rose Ndauka kibiashara zaidi… katuletea magazine yake inaitwa ‘Rozzie’

on

Baada ya kimya cha muda mrefu mrembo kutoka kiwanda cha filamu Bongo Rose Ndauka amekuja na ujio mpya wa Hard Copy ya Magazine yake ya Rozzie ambayo awali ilikuwa ikipatikana mtandaoni pekee, Rose amezindua Magazine yake ya Rozzie leo January 29 na itakuwa ikipatikana bure kila mwezi kwa watanzania wote.

DSC_0089

Rose amefanya uzinduzi na kutoa copy ya kwanza ya Magazine yake, ambayo lengo la Magazine hiyo itakayokuwa inatolewa kila mwezi ni kuburudisha na kuelimisha mashabiki wake kupitia Magazine. Hizi ni pichaz za uzinduzi na muonekano wa kwanza wa Magazine ya Rozzie.

DSC_0092

DSC_0098

Rose Ndauka na Meneja wake Ramadhani

DSC_0095

id 1

Muonekano wa mbele wa toleo la kwanza wa Rozzie Magazine

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye TwitterFBInstagram na YouTUBE wa kubonyezahapa>>>INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE.

Soma na hizi

Tupia Comments