Wakati wakazi wa Arusha wakiwa wanasubiria msimu wa Fiesta 2018 utakao fanyika jumamosi hii baadhi yao wameamua kutumia fursa mbalimbali zinazo kujaga na msimu huo ambapo moja ya mkazi wa Arusha anayeitwa Stanley ameamua kutengeneza Culture zenye majina ya wasanii pamoja na watangazi wa Clouds media na kuziuza kwa bei ya elfu tano.
Tazama Video hapa chini kutazama jamaa wa Arusha aliyetumia fursa.
VIDEO: NOMA!! WALIVYOPOKELWA WASANII FIESTA ARUSHA