Sarkodie ni rapper kutokea Ghana ambaye mwaka jana alishinda tuzo ya Headies Awards 2014 kwenye kipengele cha BEST AFRICAN ARTISTE ambacho miongoni mwa wasanii waliokuwa wakiwania tuzo hiyo alikuwepo Diamond Platnumz (Tanzania) , Mafikizolo (South Africa) na wengineo.
Sasa time hii rapper huyo kaisambaza hii video mpya iitwayo Oluwa is Involved amemshirikisha Paedae
Itazame hapa
Nitaendelea kukupatia kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia Twitter, Instagram, na Facebook ukijiunga na mimi kwa kubonyeza >>>twitter Insta Facebook