Soudy Brown leo kafikishiwa story kwamba kuna ishu ilitokea kati ya msanii TID na Q Chillah walipokutana Club.
Q Chillah amesema hakukuwa na ugomvi kama ambavyo imesikika kwa kuwa yeye alichomwambia TID ni kwamba hakupenda alivyoandika Instagram kuhusu wimbo wa mpya wa Ali Kiba.
Msanii huyo amesema TID alimfuata kutaka kuongea naye lakini yeye akamkatalia na kumwambia kama ana shida ya kuongea naye amtafute kwa wakati mwingine.
Soudy Brown alimtafuta TID ambaye alipoulizwa alijibu hivi; “Mbona unataka kunijazia watu rafiki yangu? Mi’ sipendi mambo hayo.. Kata simu upesi sana.. mwenyewe kata simu..”
Kuisikiliza U HEARD yote bonyeza play hapa..
Nitaendelea kukupatia kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia Twitter, Instagram, na Facebook ukijiunga na mimi kwa kubonyeza >>>twitter Insta Facebook