Muziki wa Afrika inaonekana unazidi kufanya vizuri nje ya mipaka ya Afrika, leo January 31 staa ghali zaidi duniani anayeichezea Man United Paul Pogba na mchezaji mwenzake wa Man United Jesse Lingard, wameonekana kuukubali muziki wa Wizkid.
Pogba ambaye ni mfaransa na Jesse Lingard ambaye ni muingereza wameonekana kuikubali hit single ya Wizkid ft Drake Hush Up The Silence na kuanza kuucheza wimbo huo, Pogba na Lingard walikuwa katika dressing room za timu yao na kuweka wimbo huo na kucheza na baadae Pogba alishea video hiyo katika instagram account yake.
Wachezaji wa ManUnited Paul Pogba na Jesse Lingard wakicheza wimbo wa Wizkid ft Drake Hush Up The Silence wakiwa dressing room za ManUnited. pic.twitter.com/s1Iebk9aAg
— millard ayo (@millardayo) January 31, 2017
VIDEO: Yanga vs Azam FC January 7 2017, Full Time 0-4