Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: VideoFUPI: Umeiona hii ya Pogba na Lingard wakicheza ngoma ya Wizkid ft Drake
Share
Notification Show More
Latest News
Alhamisi ya TBT: Video 10 za kitambo kutokea Marekani hautozijutia kuzitazama
February 2, 2023
Habari kubwa Magazetini Kenya leo February 2, 2023
February 2, 2023
Utaipenda: Muonekano mpya wa Ilala, namna Bilioni 120 ilivyoibadilisha
February 2, 2023
Watu 60809 wapata Elimu ya Sheria Morogoro
February 2, 2023
Video: Mama amwaga machozi mbele ya Mwenyekiti wa umoja wa UVCCM, Rais Samia amtumia ujumbe huu
February 2, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Sports > VideoFUPI: Umeiona hii ya Pogba na Lingard wakicheza ngoma ya Wizkid ft Drake
Sports

VideoFUPI: Umeiona hii ya Pogba na Lingard wakicheza ngoma ya Wizkid ft Drake

January 31, 2017
Share
1 Min Read
SHARE

Muziki wa Afrika inaonekana unazidi kufanya vizuri nje ya mipaka ya Afrika, leo January 31 staa ghali zaidi duniani anayeichezea Man United Paul Pogba na mchezaji mwenzake wa Man United Jesse Lingard, wameonekana kuukubali muziki wa Wizkid.

Pogba ambaye ni mfaransa na Jesse Lingard ambaye ni muingereza wameonekana kuikubali hit single ya Wizkid ft Drake Hush Up The Silence na kuanza kuucheza wimbo huo, Pogba na Lingard walikuwa katika dressing room za timu yao na kuweka wimbo huo na kucheza na baadae Pogba alishea video hiyo katika instagram account yake.

Wachezaji wa ManUnited Paul Pogba na Jesse Lingard wakicheza wimbo wa Wizkid ft Drake Hush Up The Silence wakiwa dressing room za ManUnited. pic.twitter.com/s1Iebk9aAg

— millard ayo (@millardayo) January 31, 2017


VIDEO: Yanga vs Azam FC January 7 2017, Full Time 0-4

You Might Also Like

PSG wachukizwa na Chelsea kukwamisha usajili wa Ziyech

Enzo avunja rekodi ya Uingereza usajili

Jorginho aondoka Chelsea na kusaini Arsenal

Jorginho yametimia Arsenal

Picha: Tazama wadau mbalimbali waliohudhuria kushuhudia mkataba wa Yanga na Haier

TAGGED: soka ulaya
Rama Mwelondo TZA January 31, 2017
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article VIDEO: Baada ya kuachana na Taifa Stars, Yanga wametangaza kumpa kazi mpya Mkwasa
Next Article VIDEO: Simba na Yanga wamekataa kucheza na Mabingwa wa Afrika, vipi Azam FC?
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Alhamisi ya TBT: Video 10 za kitambo kutokea Marekani hautozijutia kuzitazama
Top Stories February 2, 2023
Habari kubwa Magazetini Kenya leo February 2, 2023
Magazeti February 2, 2023
Utaipenda: Muonekano mpya wa Ilala, namna Bilioni 120 ilivyoibadilisha
Top Stories February 2, 2023
Watu 60809 wapata Elimu ya Sheria Morogoro
Top Stories February 2, 2023

You Might also Like

Top Stories

Alhamisi ya TBT: Video 10 za kitambo kutokea Marekani hautozijutia kuzitazama

February 2, 2023
Top Stories

Utaipenda: Muonekano mpya wa Ilala, namna Bilioni 120 ilivyoibadilisha

February 2, 2023
Top Stories

Video: Mama amwaga machozi mbele ya Mwenyekiti wa umoja wa UVCCM, Rais Samia amtumia ujumbe huu

February 2, 2023
Top Stories

liganga na Mchuchuma ngoma nzito, Waziri akubali hoja za Askofu Gwajima

February 2, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?