Habari za Mastaa

Sentensi 8 za Meneja wa Diamond baada ya kudaiwa alimzimia Mic Alikiba

on

October 11, 2016 Amplifaya ya Clouds FM na mtu wako wa nguvu Millard Ayo imempata Sallam Jorge a.k.a Mendez meneja wa msanii Diamond Platinumz. Mendez amezungumzia issue ya yeye kuhusishwa kuzima Mic wakati Alikiba akianza kuperform weekend iliyopita huko Mombasa Kenya kwenye tamasha lililowakutanisha mastaa kama Chris Brown, Vanessa Mdee, Wizkid na Alikiba mwenyewe.

Tamasha hilo limezua mzozo kwenye mitandao baada ya video iliyomuonesha Alikiba akiongea na mtangazaji Mzazi Willy M. Tuva wa Radio Citizen ya Kenya na kisha kumtupia lawama Meneja wa Diamond kwamba ndiye aliyesababisha kuzimwa kwa Mic yake.

Amplifaya imepiga story na Jorge Mendez na amezungumza maneno haya

Kupata stori kamili Bonyeza Play hapa chini…

ULIMISS KUONA CHUMBA ALICHOLALA CHRIS BROWN WAKATI ALIPOFIKA KENYA KWENYE TAMASHA LA MOMBASA ROCKS? NIMEKUWEKEA HAPA

Soma na hizi

Tupia Comments