Michezo

Pichaz 10 za maandalizi ya mwisho ya Simba kuivaa Stand United ambayo imekimbia mji

on

Klabu ya Simba Jumamosi ya February 13 itashuka katika uwanja wa Kambarage Shinyanga kucheza mchezo wake wa 19 wa Ligi Kuu dhidi ya klabu ya Simba, Simba ipo Shinyanga na itacheza dhidi ya mwenyeji wao Stand United waliopo nafasi ya 5 katika msimamo wa Ligi Kuu wakiwa na michezo 17 na point 29 wakati Simba wamecheza jumla ya mechi 18 wapo nafasi ya 2 wakiwa na point 42. Licha ya kuwa Stand United ni wenyeji wamekimbia mji na kwenda Kahama kuweka kambi.

DSC_0052

DSC_0058

DSC_0063

DSC_0069

DSC_0071

DSC_0080

DSC_0084

DSC_7192

DSC_7194

DSC_7197

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter,FBInstagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTERFBYOUTUBE

Tupia Comments