Mbunge wa Jimbo la Korogwe Vijijini Timotheo Mzava amesema licha ya kuwa na muda mfupi tangu kuchaguliwa kuwa Mbunge wa Jimbo hilo hakukumfanya kuwa kimya bungeni kwani amechangia mara nyingi kwa kueleza kero za wanannchi wake bila kuchoka huku akiwa amefanya ziara katika maeneo yote yanayopatikana Jimboni kwake ili kujua kero za wapiga kura wake.
Naibu Waziri Mavunde atoa onyo kwa Maboss wote nchini “tutawapeleka Mahakamani”