Tag: video mpya

Ice Prince kamuweka mpenzi wake kwenye hizi dakika nne za ‘Feelings’ – (Video)!

Mkali wa muziki kutoka Nigeria, Ice Prince Zamani anaziandika headlines kwenye kurasa…

Millard Ayo

Ni mdundo baada ya mdundo… hii ni nyingine kutoka kwa Chris Brown, ‘Wrist’ feat. Solo Lucci – (Video)!

Staa wa muziki kutoka Marekani, Chris Brown anazidi kuzisogeza videos kutoka kwenye…

Millard Ayo

Chris Brown kaja na mzigo mwingine, dakika zako tatu kuupitia hapa.. -‘Back to Sleep’ (+Video)

Zikiwa zimebaki siku chache kufikia uzinduzi wa album yake mpya, Royalty staa…

Millard Ayo

Mabibi na Mabwana Mr Blue katuletea hii video mpya ‘Baki na Mimi’ hautajutia dakika zako..

Jina lake ni Herry Samir lakini kwenye hit songs ni jina la Mr…

TZA

Dj Maphorisa katudondoshea hii video mpya ft Wizkid & Dj Buckz – Soweto baby

Dj Maphorisa ambaye ni producer aliyetengeneza single kama 'ole themba' ya Linah…

TZA

Ongeza hit singles kwenye Christmas playlist yako na hii mpya ya August Alsina; Song Cry – (Video)!

Album yake mpya 'This Thing Called Life' ikiwa mtaani tayari, msanii wa…

Millard Ayo

Kala Jeremiah kwenye ubora wake, anakukaribisha uicheki mpya yake- ‘Malkia’ (+Video)

Rapper Kala Jeremiah ni moja ya mastaa ambao walitokea vizuri sana kupitia…

Millard Ayo

Mabibi na mabwana Diamond Platnumz kaileta hii video mpya, ndani yumo Wolper, FA, Mama Diamond, Zari na wengine

Diamond Platnumz jioni ya December 11 aliachia video yake mpya ya Utanipenda? bonyeza play kuitazama…

Millard Ayo

Baada ya Classic Man, Jidenna anaisogeza ‘Long Live The Chief’ na video yake hii hapa… (Video)!

Baada ya kuweka headlines nyingi sana na single yake ya 'Classic Man'…

Millard Ayo

50 Cent anatualika kuitazama video yake mpya ‘Too Rich’

Inawezekana kabisa 50 Cent hajashika chati za juu na muziki wake kwa…

TZA