Habari za Mastaa

Tazama Harmonize alivyotua Dar na mpenzi wake Briana (video+)

on

Ni Mkali kutokea Bongo Flevani, Harmonize ambae Novemba 27, 2021 amewasili Dar akiwa na mpenzi wake aitwae Briana.

Harmonize kwa mara ya kwanza atampeleka mpenzi wake kwao Mtwara na kuhudhuria show ya Ibrah inayotarajiwa kufanyika katika uwanja wa Nangwanda.

HAMISA MOBETTO AFUNGUKA KUHUSU FRED VUNJA BEI “SINA MAZOEA NAE”

 

Soma na hizi

Tupia Comments