Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Vifaa 7 vya kiteknolojia vilivyowahi kubuniwa na kuushangaza ulimwengu
Share
Notification Show More
Latest News
Upinzani unashinikiza mageuzi mapya ya uchaguzi
June 2, 2023
Mlipuko wa ugonjwa wa Marburg umekwisha rasmi Tanzania.
June 2, 2023
Nyota wa zamani wa Manchester United Lingard kuondoka Nottingham Forest
June 2, 2023
Serikali ya Congo na mahakama ya ICC zakubaliana kuimarisha ushirikiano
June 2, 2023
Amnesty yaonya Iran dhidi ya Kunyonga kwa Kesi zinazohusiana na madawa ya kulevya
June 2, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Duniani > Vifaa 7 vya kiteknolojia vilivyowahi kubuniwa na kuushangaza ulimwengu
DunianiMix

Vifaa 7 vya kiteknolojia vilivyowahi kubuniwa na kuushangaza ulimwengu

May 1, 2017
Share
3 Min Read
SHARE

Kila mwanasayansi duniani hutaka kugundua teknolojia flani ili kujijengea heshima na jina katika fani yake, lakini kuna baadhi ya vifaa vya kiteknolojia ambavyo vimegunduliwa na wanasayansi mbalimbali duniani ambavyo vimeleta gumzo na kushangaza watu wengi.

Leo May 1, 2017 nimeona si vibaya nikikusogezea teknolojia saba za kushangaza na kustaajabisha zilizowahi kutengenezwa na wanasayansi mbalimbali duniani.

1: Kiatu chenye kiyoyozi

Hii ni moja ya teknolojia ambayo ilistajabisha watu wengi baada ya kampuni ya Hydro-Tech kutengeneza kiatu ambacho kina kiyoyozi kinachosaidia mvaaji wa viatu hivyo kupata ubaridi akiwa sehemu zenye joto kali.kiatu hiki kinauzwa dola 75.

2: Jacket unayoweza kufanya kama TV

Mwaka 2015 kampuni ya Lenovo ilizinduwa jacket inayojulikana kama “screen jacket” ambayo unaweza kuigeuza na kuifanya Tv ambayo unaweza  kuangalia vipindi mbambali. ,jacket hili pia limewekewa program kama Netflix ambapo mtu anaweza kuangalia movie .

3: Kifaa cha kupoozea chakula

Kifaa hiki cha kupoozea chakula cha moto kilitengezwa na kampuni Tech E kutoka Japan, Lengo la designer aliyekibuni kifaa hichi ni kusaidia kupoza chakula cha moto hasa kwa watoto.

4: Kifaa cha kuangalia movie huku unatembea

Kifaa hiki chenye muundo wa kofia kimebuniwa na kampuni ya B-tech kwa ajili ya watu wanaopenda kuangalia movie peke yao bila bughudha ,kifaa hiki kilipata umaarufu mkubwa mwaka 2015 na kiliuzwa zaidi ya pisi milioni 5 duniani kote.

5: Kifaa cha kukupa ulinzi

Mwaka 2016 kampuni ya Techstars ilizindua kifaa maalum ambacho kinaweza kutuma taarifa kwa familia na marafiki  iwapo mvaaji amepatwa na tatizo kwani itaonesha mahali alipo, Kifaa hiki kilibuniwa mahususi kwa ajili ya Wanawake wanapopata matatizo hasa ya kuvamiwa na kubakwa.

6: Kiatu kinachotumia bluetooth

Kampuni ya HSG-IMIT ilizindua kiatu kinachojulikana kama “smart shoes” kwa mara kwanza mwaka 2016 katika maonyesho ya  Consumer Electronics, kiatu hiki kinauwezo wa kuunganishwa na bluetooth ya simu yako ambapo unaweza kufunga na kufungua mikanda ya viatu kwa kutumia smart phone yako.

7: Mkanda wa kuzuia unene

Mwaka 2016 kampuni ya Samsung ilizindua mkanda maalum ambao mtu akiuvaa unamsaidia kujua ale chakula kiasi gani ili asinenepe, mtumiaji wa mkanda huu anaweza kuufunga na kufungua kwa kutumia simu yake ya mkononi.

VIDEO:Ulipitwa na hii stori kuhusu Mtanzania aliyechora michoro ya ikulu?Bonyeza play kutazama.

BREAKING NEWS zote na stori za mastaa utazipata kwa Reporter wako MillardAyo, hakikisha umejiunga na mimi kwenye Facebook, Twitter, Instagram, Snapchat, Youtube, APP kwenye ANDROID na IOS kote huko kwa jina hilohilo la @millardayo

You Might Also Like

Wabunge wafurahishwa na utekelezwaji wa mradi wa bomba la mafuta ghafi EACOP

Profesa Mkenda kufungua maonesho ya Nane ya Tafiti na Ubunifu UDSM

Miaka 5 ya ITM, Serikali imeahidi kuadhimisha sekta ya rasilimali watu

Yanga, UNICEF na Serikali zaungana kutoa elimu Ugonjwa wa Kipindupindu

Msaada wa pikipiki kwa Polisi kulinda Watalii

TAGGED: habari daily
Admin May 1, 2017
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article VIDEO: Hotuba ya JPM kwenye Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani – Kilimanjaro
Next Article TOP 5: Marais watano wanaolipwa mshahara mdogo zaidi duniani, Afrika wapo wawili
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Upinzani unashinikiza mageuzi mapya ya uchaguzi
Top Stories June 2, 2023
Mlipuko wa ugonjwa wa Marburg umekwisha rasmi Tanzania.
Top Stories June 2, 2023
Nyota wa zamani wa Manchester United Lingard kuondoka Nottingham Forest
Sports June 2, 2023
Serikali ya Congo na mahakama ya ICC zakubaliana kuimarisha ushirikiano
Top Stories June 2, 2023

You Might also Like

Top Stories

Upinzani unashinikiza mageuzi mapya ya uchaguzi

June 2, 2023
Top Stories

Mlipuko wa ugonjwa wa Marburg umekwisha rasmi Tanzania.

June 2, 2023
Sports

Nyota wa zamani wa Manchester United Lingard kuondoka Nottingham Forest

June 2, 2023
Top Stories

Amnesty yaonya Iran dhidi ya Kunyonga kwa Kesi zinazohusiana na madawa ya kulevya

June 2, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?