The Future Awards imetimiza miaka 10 tangu imeanzishwa Nigeria, moja ya story ambayo nilikusogezea siku chache zilizopita ilihusu Watanzania wawili, Patrick Ngowi pamoja na Diamond Platnumz kutajwa kama Mabalozi wa Tuzo hizo za TFAA zinazotimiza miaka 10.
The Future Awards Africa (TFAA) ni Tuzo ambazo hutolewa kila mwaka kwa vijana wenye umri kati ya miaka 18-31 waliofanya vizuri kwa kipindi cha mwaka husika kwenye maeneo mbalimbali… Mchujo umepitishwa na kuna Watanzania watatu ambao wamefanikiwa kuingia kwenye fainali yenyewe, Vanessa Mdee, Felix Richard Manyogote na Witness Sanga.
List ya nominees wote hii hapa na fainali yenyewe itakuwa siku ya Jumapili December 6 2015, ndani ya Lagos Nigeria.
The Future Awards Africa Prize in Advocacy & Activism
1. Anoziva Marindire (Zimbabwe)
2. Olumayowa Okediran (Nigeria)
3. Segawa Patrick (Uganda)
4. Sakar Uchechukwu (Nigeria)
5. Queen Baboloki (Botswana)
The Future Awards Africa Prize in Education
1. Josephine Marie Goodwill (Ghana)
2. Abena Agyemang (Ghana)
3. Cynthia Onwuchuruba (Nigeria)
4. Lily Kudzro (Ghana)
5. Maccathy Lomotey (Ghana)
The Future Awards Africa Prize in Enterprise Support
1. Clarisse Iribagize. (Rwanda)
2. Enow Awah Georges Stevens (Ghana)
3. Olufunbi Falayi (Nigeria)
4. Catherine Mahugu (Kenya)
5. Venuste Kubwimana (Kenya)
The Future Awards Africa Prize in Community Action
1. Edmund Duodu Antwerp (Ghana)
2. Kelvin Mutize (Zimbabwe)
3. Elijah Amoo Addy (Ghana)
4. Felix Richard Manyogote (Tanzania)
5. Daniel Nii Adom Oodnkor (Ghana)
The Future Awards Africa Prize in Technology
1. Rasheeda Mandeeya Yehuza (Ghana)
2. Joshua Ihejiamaizu (Nigeria)
3. Abiola Olaniran (Nigeria)
4. Duran De Villiers (South Africa)
5. Arthur Zang (Cameroon)
The Future Awards Africa Prize in Entertainment
1. Yemi Alade (Nigeria)
2. Vanessa Mdee (Tanzania)
3. Refiloe Maele “Cassper Nyovest” Phoolo (South Africa)
4. Olamide “Badoo” Ayodeji (Nigeria)
5. Anne Kansiime (Uganda)
The Future Awards Africa Prize in Agriculture
1. Witness Sanga (Tanzania)
2. David Asiamah (Ghana)
3. Fanka A. Yenah (Cameroon)
4. Momarr Mass Taal (Gambia)
5. Lawrence Afere (Nigeria)
The Tony O. Elumelu Prize in Business
1. Samuel Malinga (Uganda)
2. Kasope Ladipo-Ajai (Kenya)
3. Evans Wadongo (Kenya)
4. Titus Mawano (Uganda)
5. Ali-shah Jivraj (Uganda)
The Future Awards Africa Prize in Public Service
1. Nkechi Okwuone (Nigeria)
2. Obiefule Iroabueke (Nigeria)
3. Emmanuel N. B. Flomo (Liberia)
4. Lefatshe Anna Moagi (South Africa)
5. Sakaja Johnson (Kenya)
The Future Awards Africa Prize for Young Person of the Year
1. Adesoji Solanke (Nigeria)
2. Teresa Mbagaya (Kenya)
3. Barclay Okari (Kenya)
4. Philip Obaji Jnr. (Nigeria)
5. Trevor Noah (South Africa)
Kama hukuipata list ya Mabalozi wote ikiwemo Diamond Platnumz na Patrick Ngowi, unaweza kuicheki hapa >>> TFAA Ambassadors 2015
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE kwa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE