Burudani

VIDEOMPYA: Rude Boy kaamua kuja kivyake na hii ya “Fire Fire”

on

Msanii Paul Okoye “Rude Boy” kutokea nchini Nigeria baada ya kundi la Psquare kusambaratika kaamua kuja kivyake na ngoma yake mpya ya “Fire Fire” ili kuitazama ngoma hiyo bonyeza play hapa chini kuburudika.

VIDEO:Martin kadinda baada ya Wema kupata tuzo Swahili Fashion Week

 

Soma na hizi

Tupia Comments