Kila siku asubuhi huwa nazisogeza headlines zilizobebwa kwenye kurasa za Magazeti ya Tanzania, Uchambuzi wa stori zote naupandishwa kwenye account yangu ya Twitter @millardayo. Najua huenda stori nyingine zinakupita, hapa nimezikusanya zote zilizoguswa na #Tweets zangu August 12 2015, unazisoma zote kwa pamoja.
Dk. MAGUFULI aahidi laptop kwa kila Mwalimu na Mil. 50 kila Kijiji kukuza Uchumi akishinda Urais #GazetiRaiaMWEMA #AUGUST12
— millard ayo (@millardayo) August 12, 2015
NGELEJA, CHEGENI wambeza LOWASSA, wasema kuhamia UKAWA hakutamsaidia kupata Urais na kuingia IKULU#GazetiRaiaMWEMA #AUGUST12 — millard ayo (@millardayo) August 12, 2015
Serikali imeonya kuhusu matumizi mazuri ya Mitandao ili kuepusha migongano kutokana na taarifa zisizo sahihi #GazetiUHURU #AUGUST12
— millard ayo (@millardayo) August 12, 2015
Serikali imeonya kuhusu matumizi mazuri ya Mitandao ili kuepusha migongano kutokana na taarifa zisizo sahihi #GazetiUHURU #AUGUST12 — millard ayo (@millardayo) August 12, 2015
Serikali imeonya kuhusu matumizi mazuri ya Mitandao ili kuepusha migongano kutokana na taarifa zisizo sahihi #GazetiUHURU #AUGUST12 — millard ayo (@millardayo) August 12, 2015
Wagombea Ubunge wapigana vikumbo Dodoma huku wakisubiri maamuzi ya Vikao vya Kamati Kuu #GazetiUHURU #AUGUST12 — millard ayo (@millardayo) August 12, 2015
Mtu mmoja amehukumiwa Kifungo cha Miaka miwili jela kwa kosa la kukutwa akimiliki Bastola bila kuwa na kibali #GazetiUHURU #AUGUST12 — millard ayo (@millardayo) August 12, 2015
Mgombea Urais wa CCM Dk. John MAGUFULI amesema neema inakuja, Watz wategemee makubwa akipita Urais #GazetiUHURU #AUGUST12 — millard ayo (@millardayo) August 12, 2015
Mfanyabiashara auawa kwa kupigwa Risasi nje ya duka lake Korogwe Tanga, Wauaji hawakuchukua kitu chochote kutoka kwake #GazetiUHURU AUGUST12 — millard ayo (@millardayo) August 12, 2015
Kundi la Vijana wahuni wakiwa na mawe, fimbo, wavamia Wanafunzi na Walimu Sekondari Masasi na kuwatembezea kipigo #GazetiUHURU AUGUST12 — millard ayo (@millardayo) August 12, 2015
Rais MUSEVENI awatwisha mzigo Wananchi wake, amesema suala la kutoka au kubaki Madarakani liko mikononi mwao #GazetiUHURU AUGUST12 — millard ayo (@millardayo) August 12, 2015
Ali KIBA kuwafunika Wasauzi, apania kufanya makubwa Tamasha la ‘Party in The Park’ Dar #GazetiUHURUMichezo AUGUST12 — millard ayo (@millardayo) August 12, 2015
Klabu ya Simba imesema itamshughulikia Mchezaji Elius MAGURI, yadai amekiuka utaratibu kuongea na Vyombo vya Habari #GazetiUHURUMichezo — millard ayo (@millardayo) August 12, 2015
YANGA na AZAM zamchefua Kocha MKWASA kwa kuwazuia Wachezaji wao wasijiunge na Kikosi cha Timu ya Taifa #GazetiUHURUMichezo #AUGUST12 — millard ayo (@millardayo) August 12, 2015
LOWASSA ni tishio, siku moja baada ya kusema Rais JK ameharibu uchumi wa TZ, yadaiwa kuandaliwa tuhuma mpya za kumchafua #TzDAIMA #AUGUST12 — millard ayo (@millardayo) August 12, 2015
Goli la mkono lavuruga CCM, Majimbo matano kurudia Kura za Maoni, Mawaziri walioanguka waandaliwa Mbeleko #TzDAIMA #AUGUST12 — millard ayo (@millardayo) August 12, 2015
Rais JK ateua Balozi mmoja, kawabadilishia Vituo vya kazi wawili na kumteua Mkurugenzi mpya Shirika la Viwango TBS #TzDAIMA #AUGUST12 — millard ayo (@millardayo) August 12, 2015
MBATIA ammaliza MREMA Vunjo, siku 10 kabla ya kuanza Kampeni Madiwani wa TLP watimkia NCCR- Mageuzi #TzDAIMA #AUGUST12 — millard ayo (@millardayo) August 12, 2015
CCM yahaha kuwaokoa Mawaziri waliobagwa Kura za Maoni,imefuta matokeo na kutangaza Uchaguzi Majimbo matano #MTANZANIA>http://t.co/JtLmUhdUJb — millard ayo (@millardayo) August 12, 2015
CCM Handeni watishia kutomnadi Mgombea aliyeshinda Ubunge, wadai Ushindi wake ulitokana na Uchakachuaji #MTANZANIA >>http://t.co/JtLmUhdUJb — millard ayo (@millardayo) August 12, 2015
Baada ya jopo la madaktari 8 kumfanyia uchunguzi MBOWE wamesema hali yake imesababishwa na kufanya kazi muda mrefu bila kupumzika #MWANANCHI — millard ayo (@millardayo) August 12, 2015
CCM,UKAWA wageuka gumzo kila kona ya nchi,mazungumzo ya watu yatawala sehemu mbalimbali kuhusu vyama hivyo kuelekea uchaguzi mkuu #MWANANCHI — millard ayo (@millardayo) August 12, 2015
CCM imetengua matokeo ya kura za maoni na kuamuru kurudiwa kwa uchaguzi katika majimbo matano baada ya kukiuka kanuni #MWANANCHI #AUGUST12 — millard ayo (@millardayo) August 12, 2015
Madereva watoa sharti la mwisho kwa Serikali kushughulikia madai yao, wakishindwa watatoa tamko la mgomo #MTANZANIA >>http://t.co/JtLmUhdUJb — millard ayo (@millardayo) August 12, 2015
Hofu ya EBOLA yatanda Kigoma,mtu mmoja toka Burundi amefariki akiwa na dalili za Ugonjwa huo #MTANZANIA AUGUST12>>http://t.co/JtLmUhdUJb — millard ayo (@millardayo) August 12, 2015
Dk.SLAA aikana akaunti ya Twitter inayomzushia kujitenga na shughuli za siasa UKAWA, amesema hajawahi kuwa na akaunti hiyo #MWANANCHI AUGUST — millard ayo (@millardayo) August 12, 2015
Sophia SIMBA amesema waliompakazia kuhama CCM wana chuki nae, amesema Wanawake ni Jeshi kubwa la Ushindi #MTANZANIA >>http://t.co/JtLmUhdUJb — millard ayo (@millardayo) August 12, 2015
Waziri wa mambo ya ndani CHIKAWE amesema amefurahishwa na amani iliyotawala wakati watu wakimsindikiza LOWASSA kuchukua fomu NEC #MWANANCHI — millard ayo (@millardayo) August 12, 2015
Timu ya Stand UNITED yatengwa ktk Mashindano Maalum ya Kanda ya Ziwa, yadaiwa kukiuka Masharti #MTANZANIA #AUGUST12 >>http://t.co/JtLmUhdUJb — millard ayo (@millardayo) August 12, 2015
Mfuko wa barabara umekusanya trilioni 2.931 kwa kutoza ushuru wa petrol, magari ya kigeni na yale yanayozidisha mizigo #MWANANCHI #AUGUST12 — millard ayo (@millardayo) August 12, 2015
Bondia Amir KHAN ameamua kuomba Pambano na Manny PACQUIAO mwanzoni mwa 2016 #MTANZANIAMichezo #AUGUST12 >>>http://t.co/JtLmUhdUJb — millard ayo (@millardayo) August 12, 2015
Tanzania inaongoza kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi A.Mashariki na kati baada ya kuanzisha mradi kudhibiti uharibifu misitu #MWANANCHI — millard ayo (@millardayo) August 12, 2015
Aliyejiita Mungu afariki akiwa na wake 35 na watoto 95,Ni raia wa Kenya amejiita hivyo kwa miaka 40 na kwamba Yesu ni mwanaye #MWANANCHI — millard ayo (@millardayo) August 12, 2015
Uchaguzi waathiri mbio za Mwenge Geita, yadaiwa watu wengi wameelekeza mawazo kwenye mambo ya kisiasa badala ya Kitaifa #MWANANCHI #AUGUST12 — millard ayo (@millardayo) August 12, 2015
Baba atuhumiwa kumuua mtoto wake wa kiume Geita kisa kamuomba auze sehemu ya ardhi yake ili apate fedha za kutoa mahari #MWANANCHI #AUGUST12 — millard ayo (@millardayo) August 12, 2015
Man City yaanza kwa ushindi mnono baada ya kuichakaza West Brom mabao 3-0,jumla ya mabao 30 yafungwa mechi za ufunguzi EPL #MWANANCHI AUGUST — millard ayo (@millardayo) August 12, 2015
Wakimbizi wa Burundi kutokana na machafuko wafikia 84,000 ktk Kambi ya Wakimbizi ya Nyarugusu Kigoma #NIPASHE >>>http://t.co/JtLmUhdUJb — millard ayo (@millardayo) August 12, 2015
M’kiti Tume ya Uchaguzi Jaji LUBUVA amesema watakuwa na Vikao vingi na Vyombo vya Dola kujadili Usalama Uchaguzi Mkuu Oktoba 2015 #NIPASHE — millard ayo (@millardayo) August 12, 2015
Bilioni 1.5 zatumika kufanya usajili kwa wachezaji wa ligi kuu Tz bara, Yanga yaongoza kwa kutumia 53% ya fedha zote #MWANANCHI #AUGUST12 — millard ayo (@millardayo) August 12, 2015
Freeman MBOWE amesema kwa sasa yuko fiti, Daktari wake amesema alikuwa akisumbuliwa na Uchovu #NIPASHE #AUGUST12 ><>http://t.co/JtLmUhdUJb — millard ayo (@millardayo) August 12, 2015
Rais JK anatarajiwa kuwaaga wakuu wa nchi za Jumuiya ya SADC Agosti 18 Jo’burg Afrika KUSINI #NIPASHE #AUGUST12 >>>http://t.co/JtLmUhdUJb — millard ayo (@millardayo) August 12, 2015
Vijana wenye umri wa miaka 15-29 wanapoteza maisha kila siku duniani kutokana na ajali za pikipiki na magari pamoja na watoto 500 #JamboLEO — millard ayo (@millardayo) August 12, 2015
Shule ya Msingi iliyoko KAHAMA iko kwenye hatihati ya kufungwa kutokana na kutokuwa na choo #NIPASHE #AUGUST12 >>>http://t.co/JtLmUhdUJb — millard ayo (@millardayo) August 12, 2015
Jeshi la Polisi Geita linamshikilia mwanaume mmoja kwa tuhuma za kumuua mkewe kwa kumchapa bakora #NIPASHE #AUGUST12>>http://t.co/JtLmUhdUJb — millard ayo (@millardayo) August 12, 2015
Panya Road wavamia nyumba na maduka ya wananchi wa Kijichi Dar, wawalazimisha kutoa fedha na simu #MWANANCHI AUGUST> http://t.co/JtLmUhdUJb — millard ayo (@millardayo) August 12, 2015
Chama cha madereva nchini kimemwomba JK kuingilia kati na kuwatetea masilahi yao kama anavyofanya kwa wanamuziki nchini #HabariaLEO AUGUST12 — millard ayo (@millardayo) August 12, 2015
Kim Kardashian afikisha followers milioni 42 Instagram, asherehekea idadi hiyo ya watu huku akipongezwa na marafiki zake #ChampioniMICHEZO — millard ayo (@millardayo) August 12, 2015
Mkwasa akerwa na kitendo cha klabu za Yanga na Azam kugoma kuwaachia wachezaji wao wajiunge na timu ya Taifa inayojiandaa na AFCON #CHAMPION — millard ayo (@millardayo) August 12, 2015
Uongozi kituo cha daladala cha Simu 2000 wamewatisha wafanyabiashara wadogo ndani ya eneo hilo kuwa watawanyang’anya maeneo yao #HabariLEO — millard ayo (@millardayo) August 12, 2015
PAPO KWA PAPO zipate habari zote zinazonifikia za siasa muziki, michezo, maisha, Breaking news na nyingine kwa kujiunga hapa na mimi >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos