Kutana na baadhi ya matukio ambayo hayakutegemewa kwenye msiba wa Mkurugenzi na Mzalishaji wa vipindi CMG Marehemu Ruge Mutahaba ambaye alifariki February 26,2019 nchini Afrika Kusini na kuzikwa March 4,2019 nyumbani kwao Kiziru Bukoba.
Bonyeza PLAY hapa chini kutazama matukio hayo.
BREAKING: Mtangazaji wa Clouds FM Ephraim Kibonde amefariki dunia