Mbunifu wa mavazi Katona amezungumza na Soudy Brown na kuseme alikua ameandaa shoo pale Regency Hotel na kuamua kumtumia Mchiz Mox ili aweze kufanya shoo katika onyesho lake la mavazi.. anasema alimtumia kwanza 50,000 ya usafiri lakini hakwenda kwenye show wala hakupokea simu.
Mchiz Mox amesema Katona alimualika kama mgeni mwalika lakini akapata matatizo na hakuweza kufika, amesema alimweleza kuwa hakutokea kwa sababu alipata matatizo na akamuelewa lakini anashangaa anamchafulia jina lake kuwa anamdai.
Msikilize hapa..
PAPO KWA PAPO zipate habari zote zinazonifikia za siasa muziki, michezo, maisha, Breaking news na nyingine kwa kujiunga hapa na mimi >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos