BreakingNews

BREAKING: Polisi DSM imethibitisha kumuachia Vanessa Mdee kwa dhamana

on

Mwimbaji wa BongoFleva Vanessa Mdee amekaa kwenye vichwa vya habari kwenye hizi siku 5 na ni baada ya Polisi kuthibitisha kwamba imemshikilia kutokana na tuhuma za sakata la dawa za kulevya.

Leo jioni Kamishna wa Polisi kanda maalum ya Dar es salaam Simon Sirro amethibitisha kwamba Vanessa Mdee ameachiwa kwa dhamana >>> “Ndio, tumempa dhamana wakati tunaendelea na uchunguzi… amepewa aripoti kesho”

ULIPITWA? Irene Uwoya aongea kwanini hakupost Wema Sepetu alipokamatwa kwenye sakata la dawa za kulevya, bonyeza play hapa chini kumtazama

Soma na hizi

Tupia Comments