Habari za Mastaa

Game ya Navy Kenzo imefikia viwango vya SmashHit Trace TV….

on

Video ya Game ya kundi la Navy Kenzo waliyomshirikisha Vanessa Mdee baada ya kupitishwa kuchezwa kwenye kituo cha TV cha kimataifa   cha Trace Urban cha Ufaransa,  bado imeendelea kufanya vizuri mpaka kupewa nafasi ya kuchezwa kama #SmashHit kwenye kituo hicho.

Hizi ni baadhi ya picha kutoka zikionesha video hiyo ikichezwa kama #SmashHit

 

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FBYOUTUBE.

Tupia Comments