Premier Bet
TMDA Ad

Top Stories

MWANZO MWISHO! RC Mwanza alivyoamua kufanya kazi usiku nje ya ofisi

on

Leo Mkuu wa Mkoa wa Mwanza John Mongella ameamua kutumia usiku na mchana kukaa na wananchi wa Ilemela waliofika Halmashauri ya Manispaa hiyo kueleza kero za migogoro ya ardhi…unaambiwa hadi muda huu RC Mongella bado yupo na wananchi na anaendelea na zoezi la kutatua migogoro ya ardhi.

BREAKING: RC Mwanza kamsimamisha kazi Mthamini wa Ardhi wa Jiji

RC MWANZA! Kaacha tena ofisi kuwafuata Wananchi, unamweleza changamoto zako

 

Soma na hizi

Tupia Comments