Habari za Mastaa

Picha 9 za video mpya ya Mb Dogg – Umenuna.

By

on

2dogKwa Tanzania  ukitaja wasanii watatu bora ambao kupitia soko la kuuza album walitoa copy nyingi sana bila shaka huwezi kuliacha nyuma jina la Mb Dogg ingawa kwa sasa soko la kuuza album kwa wasanii wa Bongo Fleva kama wameliacha hivi lakini kwa Mb Dogg bado ana rekodi nzuri juu ya soko hilo.

February 20 ndiyo siku ulitoka rasmi wimbo huu ambao kwa sasa ni miongoni mwa nyimbo zilizo kwenye chati ya juu kwenye radio mbalimbali Tanzania,huu unaitwa Umenuna kwa sasa tarehe rasmi ya kuachiwa video hii bado haijatajwa lakini ni muda wowote kutoka sasa tegemea kuiona kupitia vituo mbalimbali vya televisheni,Director wa video hii ni Abby Kaz.

9dog

8dog

7dog

6dog

5dog

4dog

3dog

1dog

Tupia Comments