Vituko/ Comedy

VIDEO: Mchekeshaji wa Kenya kuhusu Confidence ya Watumiaji wa vyoo na Wasomi bungeni

on

Show ya TV ya Churchill imekua ikitufanya tuone vipaji mbalimbali vya Wachekeshaji wa nchi jirani ya Kenya ambako leo nimekutana na hii ya YY Comedian ambaye anasema na time ambayo Watumiaji wa vyoo huwa wanajiamini zaidi lakini pia kuhusu Wanasiasa wasomi vs wasio wasomi, Bonyeza play hapa chini kutazama 

COMEDY: Utani wa Masanja Mkandamizaji akimpa Rais Magufuli aina ya kutumbua majipu

Soma na hizi

Tupia Comments