Premier Bet
TMDA Ad

Habari za Mastaa

Ulikuwa unafahamu kuwa Victoria Kimani aliwahi kuhusika kuandika single aliyoshirikishwa Chris Brown? Stori iko hapa

on

.

.

Good news ninayokusogezea ni ya msanii kutokea label ya Chocolate City, Victoria Kimani ambaye jana ni mmoja ya waliosikika AMPLIFAYANI, story ambayo alisikika nayo ni kuhusika kwake kuandika wimbo wa msanii wa Japan anayefahamika kama A.I.

Wimbo huo unaitwa Put You On, ameshirikishwa msanii kutokea marekani Chris Brown na Diggy Simmons.

Unaweza ukaitazama hapa video ya single hiyo ambayo staa huyu alishiriki kuiandika ya #PutYouOn

Nitaendelea kukupatia kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia twitter instagram na facebook ukijiunga na mimi kwa kubonyeza >>>twitter Insta Facebook

Tupia Comments