Ad

Habari za Mastaa

VIDEO: Harmonize amwagia meneja wake pombe na kumwimbia wimbo mpya

on

Usiku wa kuamkia January 3, 2019 ilikuwa party ya kusherehekea siku ya kuzaliwa ya Meneja wa msanii Harmonize anayefahamika kwa jina la Jembe ni Jembe, ambapo walihudhuria baadhi ya mastaa akiwemo msanii Barnaba, Q Chilla, Darassa na Country Boy.

Wakati party ikiendelea Harmonize alimuita meneja wake na kisha kumwagia pombe aliyokuwa ameishikilia kitu kilichopelekea na wengine kushiriki tukio hilo la kumwagia pombe na maji kama sehemu ya kufurahi na meneja huyo.

Bonyeza PLAY hapa chini kutazama VIDEO.

VIDEO: BILA AIBU LINAH AMPIGA BUSU LA MDOMONI DJ WA HARMONIZE MBELE YA MASTAA

Soma na hizi

Tupia Comments