Michezo

VIDEO: Kikeke atoa misimamo ya wachezaji “Afya ni muhimu kwanza kuliko fedha”

on

Mtangazaji wa BBC Salim Kikeke amefanya mahojiano na kituo cha TBC 1 cha Tanzania kuhusiana na nini kinaendelea England kabla ya kurejea kwa Ligi Kuu England msimu wa 2019/20, Kikeke ameeleza bado kuna mvutano juu ya kutumika kwa viwanja 10 huru kwa ajili ya kumalizia msimu.

Kikeke pia amesisitiza kuwa kuna baadhi ya wachezaji ikiwemo Danny Rose anaamini sio wakati sahihi wa Ligi kurejea wakati huu wa janga la Corona akiamini kuwa afya ndio muhimu zaidi kuliko pesa, hatma rasmi  ya Ligi Kuu England bado haijatangazwa.

VIDEO: HAJI MANARA, ANTONIO NUGAZ NA NDIMBO WAONESHA IMANI NA KAULI YA RAIS JPM

Soma na hizi

Tupia Comments