Habari za Mastaa

VIDEO:Bata la DAR sio mchezo watu wanaendelea kuenjoy,Pierre apiga shangwe

on

Ripoti kutoka kwenye mitaa mbalimbali ya Jiji la Dar es salaam ambapo usiku wa kuamkia leo ni kwamba Baa mbalimbali zimefunguliwa ikiwemo ya Liquid Kurasini.

Hii ni baada ya Mkuu wa Mkoa wa Dar ea salaam Paul Makonda kutangaza waliokimbia corona warudi Dar kuendelea na shughuli za uchumi huku akiitaja Jumapili ya leo kuwa ndio siku rasmi ya kurudi kwenye viota vilivyokua vimefungwa, siku ya kuliamsha tena japo kwa tahadhari.

Soma na hizi

Tupia Comments