Habari za Mastaa

VideoMPYA: Mkali kutokea Nigeria Rema kwenye hii collabo mpya ‘4am’

on

Ni Headlines za mkali kutokea Nigeria, Rema ambae time hii amekutanishwa na wakali Manny Norte, 6lack , Tion Wayne kwenye wimbo uitwao 4am wakiwa wamempa shavu hilo kutoka kwenye label iitwayo Love Renaissance

Sasa video ya wimbo huo imetoka na unaweza ukabonyeza play kuitazama hapa

Soma na hizi

Tupia Comments